Daisy Leaf
Senior Member
- Dec 17, 2024
- 187
- 345
Kwo leo asali imelambwa na nyuki katafunwa!
So utopwinyo ni wamama?Yanga kacheza fainali babu,wewe utaishia wapi?
Tinachubiri kuonaAl masry nikama namungo,mashujaa,coastal , Dodoma jiji, pamba jiji wa MISRI sisi kwetu al masry ni UNDERDOG tushindwe wenyewe kujipigia...
Tumewafunga goli 3Kumbuka wamesema watadhibiti msiruke ukuta. Mpitie main gate
😂😂 Vipi mmeshapanua kipenyo chenu .... Unaenda kinyumenyume kwa mwarabu...Utopwinyo walicheza na nani?
VIpi mmepewa bahasha ya rangi gani huko suez canal😂😂😂...
Utopwinyo walipenyezewa vitatu na waarabu hadi kitobo kikapasuka na safari yao ikawa imeisha pale kwa Mkapa, waarabu wanajulikana mno kwa uovu wao kwa 🐸🐸🐸🐸🤣😂
😂😂 Vipi mmeshapanua kipenyo chenu .... Unaenda kinyumenyume kwa mwarabu...
Vipi leo kipenyo chenu ni ccm ngapi? 😂😂 Baba kisari hukakunywa k vant pale kwa pallangyo🌝🚶😃Utopwinyo walipenyezewa vitatu na waarabu hadi kitobo kikapasuka na safari yao ikawa imeisha pale kwa Mkapa, waarabu wanajulikana mno kwa uovu wao kwa 🐸🐸🐸🐸🤣
Vipi leo kipenyo chenu ni ccm ngapi? 😂😂 Baba kisari hukakunywa k vant pale kwa pallangyo🌝🚶😃
hawa wakuu wa mikoa wa siku hizi wanaokotwa wapi? kina mzee gama na wengine walijenga hadi viwanja lakini nhawakuwa na uhunga kama huu wa RC wa Tabora .haya mambo ya simba na yanga ni zaidi yaHawa ndio wale nyuki nyigu wa Tabora kiboko ya manjano_😂
Na mkapigwa goli mbili wanetu Cc Shadeeya ephen_ Bantu LadySimba wako bize na mwarabu wa Misri baadae, wenzetu mko bize na waarabu wa Tabora. Kupanga ni kuchagua…
Kila la heri kwa chama langu Tabora United, nimekuwa shabiki wenu tangu nikiwa nasoma middle school pale Tabora Boys.
View attachment 3290638
Mpanzu huyu ambae hana tofauti na kuku aliekatwa kichwa anaweza kurukaruka mwisho wa siku anaanguka karibu na sufuria yenye maji ya moto tayari kwa kunyonyolewa..Mnacheza na Tabora mnahenyahenya hivyo, mkikutana na Mpanzu je?
😂😂😂 Hivi 2 vimewapotezea Linda kabisaVile vitatu vya waarabu viliwaharibu kabisa utopwinyo maana kitobo kilipasuka yaani waarabu ni wabadiiiii sana
Vile vitatu viliharibu kabisa ushujaa wa mabingwa wa mbuzi cup, yaaniiii hahaaaa walifurushwa sasa wapo mchangani wanapoza maumivu kwa supu ya tembele mixed supu ya vibudu 😂😂😂😂😂 Hivi 2 vimewapotezea Linda kabisa