Kama vile na sisi tusemavyo kila baya liwakute ndani ya Dkk 90 hapo 19:00hrs. 😅😅Asante, Ila kila baya liikute yanga ndani ya DAKIKA 90's
Al masry nikama namungo,mashujaa,coastal , Dodoma jiji, pamba jiji wa MISRI sisi kwetu al masry ni UNDERDOG tushindwe wenyewe kujipigia...Kama vile na sisi tusemavyo kila baya liwakute ndani ya Dkk 90 hapo 19:00hrs. 😅😅
Mtani Are you serious?Al masry nikama namungo,mashujaa,coastal , Dodoma jiji, pamba jiji wa MISRI sisi kwetu al masry ni UNDERDOG tushindwe wenyewe kujipigia...
Kabisahapana apewe CAG maana ule mkunjo TAKUKURU hawezi ung"amua kabisa
Nilijua utaitaja Yanga, kumbe bahati nzuri unaiheshimu timu inayokukanda mara nyingi zaidi.Al masry nikama namungo,mashujaa,coastal , Dodoma jiji, pamba jiji wa MISRI sisi kwetu al masry ni UNDERDOG tushindwe wenyewe kujipigia...
watapewa wa sa moja usiwe na shakaKadi refa hana?
huwa wanapiga mtu hadi 5
Unataka niseme tu upate kuchukia Mtani. 😅😅Mechi ndogo hii, ya wakubwa saa moja.
Leo naona mbaya wenu chikola hamumuwachi kabisa...bumper to bumper.....ile waliwafunga viziri tuu hamna bahati. Bahati ni kimojaHuyu 🖐 zinamuhusu ili ajue round ya kwanza kilimsaidia bahati tu.
Ni unyama sana, kwani ww kula hayo mavichwa ndo una enjoyKwa hiyo unaona hizo junky foods ndio vyakula vya maaaaaana mnakula huko ma-mbele!?
Dada vipi matokeo HUKO utaborani🌝🌝Simba wako bize na mwarabu wa Misri baadae, wenzetu mko bize na waarabu wa Tabora. Kupanga ni kuchagua…
Kila la heri kwa chama langu Tabora United, nimekuwa shabiki wenu tangu nikiwa nasoma middle school pale Tabora Boys.
View attachment 3290638
Unataka atangaze upendavyo wewe 😂😂 punguza ujinga kwenye kazi za watu...Mpenja akumbuke anatangazia watazamaji wenye mapenzi ya timu mbalimbali, apunguze uchawa.