KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,625
- 89,385
unaumia ukiwa wapi mkuu...Mpenja akumbuke anatangazia watazamaji wenye mapenzi ya timu mbalimbali, apunguze uchawa.
unaumia ukiwa wapi mkuu...Mpenja akumbuke anatangazia watazamaji wenye mapenzi ya timu mbalimbali, apunguze uchawa.
sasa ulitaka mangapi we unaona hao tabora yenyewe ni kama pazia tu ya kwamba unafunua tu waah!Kelele zote ndani ya 45 Kigoli kimoja?
😂😂😂😂😃Nani anataka kufuatilia kombe la mbuzi??.Hii mechi haikutakiwa kuchezwa leo. Macho na masikio ya taifa zima yalitakiwa kuwa Misri.
tulia weweUto anakufa mbili kwa moya
sasa ulitaka mangapi we unaona hao tabora yenyewe ni kama pazia tu ya kwamba unafunua tu waah!
Anaongea hadi aibu naona mimiunaumia ukiwa wapi mkuu...
Wanarudisha game itakuwa drohaka katimu kapigwe 5 kamesha jiona kakubwa, kana maneno kama nyau
Mechi ndogo hii, ya wakubwa saa moja.
PenaltiiiiiiKadi refa hana?
Sidhani kama kuna mlungula. Leo wamekutana na Utopolo bora kuliko ile walioifunga round ya kwanza.Mlungula umeshatembea, hakuna mechi hapo. Forward line na kiungo yote hiyo ya Tabora imepokea zile SMS ndiyo maana wanakimbia kimbia tu.
We acha tu! Hata kafara za wiki nzima za supu haijatiki vizuriKelele zote ndani ya 45 Kigoli kimoja?