Full Time: Tabora United 0-3 Yanga | NBC PL | Ally Hassan Mwinyi stadiam | April 2, 2025

Full Time: Tabora United 0-3 Yanga | NBC PL | Ally Hassan Mwinyi stadiam | April 2, 2025

Uto leo wanaliwa asali ni suala la muda tu
 
Mlungula umeshatembea, hakuna mechi hapo. Forward line na kiungo yote hiyo ya Tabora imepokea zile SMS ndiyo maana wanakimbia kimbia tu.
Kinyeo kishalegezwa lala sasa... Hizi ndio kauli zenu😃😃
 
Mh hii sub ya Max kwa Ikanga Lombo sijaielewa kabisa. Max anauwezo mzuri wa lukaba na kuanzisha mashambulizi ukizingatia Aucho hayupo leo
 
Back
Top Bottom