Mshenyentaji
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 2,047
- 2,932
Huyu 🖐 zinamuhusu ili ajue round ya kwanza kilimsaidia bahati tu.Mwendaaaaaaaa
Bado muda upoYule mkuu wa mkoa wa kuchacha, anakaribia kuchacha
Kabisa yaani.inabidi wapigwe hadi wachakae
hapana apewe CAG maana ule mkunjo TAKUKURU hawezi ung"amua kabisaHilo goli lipelekwe TAKUKURU
🤣🤣🤣🤣Onq page zitakavyokimbia sasa
atarejea kwenye makali taratibuMudathir sikuhizi anauzi
AsanteAll the best Tabora United
Leo wanakuangusha mara tatuTabora UNTD hawajawahi kuniangusha
labda ya makubwa jingaMechi ndogo hii, ya wakubwa saa moja.
Hahahaa. Pole jamani.Churaa katangulia duu🧐
Mmoja anacheza kimataifa misri mwingine anacheza tabora vijijini 🏃🏃🏃🏃labda ya makubwa jinga
Asante, Ila kila baya liikute yanga ndani ya DAKIKA 90'sHahahaa. Pole jamani.