Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Anakula nyuki 3 mtungiDraw moja moja
Anakula nyuki 3 mtungiDraw moja moja
HapanaAnakula nyuki 3 mtungi
sio mechi za penati hizi, zile za penati zitakuja tuTabora utd wanapata penati dk 20 dhidi ya vyura
alisha sema anautaka ufungaji boraKile kichwa cha Bacca kilichokula besela dah
Yanga wewe?sio mechi za penati hizi, zile za penati zitakuja tu
Cha kushangaza macho na masikio ya Tanzania yapo Tabora 😂😂😂 kuna mtu anafuatilia mashindano ya watoto huko??
MwendaaaaaaaaTayari hukoo.
Washaachia Mkuu.hawa wana kaza fuvu tu ila watapigwa
inabidi wapigwe hadi wachakaeWashaachia Mkuu.