Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Dah!😃😀😀
Dah!😃😀😀
Mwenye Uwezo na Ashinde tu.Karibu katika mikiki ya NBC PL ambapo leo majira ya saa 10kamili jioni pale katika dimba la kumbukumbu ya Rais wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ally Hassain Mwinyi,wenyeji Tabora United watawakaribisha vigogo na vinara wa ligi Yanga kuzisaka alama tatu muhimu.
View attachment 3290938
Ikumbukwe katika Mchezo wa mwisho wa NBC PL baina ya timu hizi mbili Yanga alikubali kupigo cha mbwa mwitu cha bao tatu kwa moja nyumbani Azam Complex.
Je,Yanga kulipa kisasi au ataendeleza uteja dhidi ya walina asali hawa wa Tabora?
Fuatana nami sako kwa bako mwanzo hadi mwisho wa mchezo huu kwa update hapa jukwaani
TBC TAIFA,AZAM SPORTs 1HD na TBC online
Kumbuka wamesema watadhibiti msiruke ukuta. Mpitie main gateDah!😃😀😀
Hata akioga mguu ni mechi ya mbuzi cup hiyo 😂Tabora leo anaoga. Mkono ni machache
Ila Mtani si kwa dharau hizi. Daaah.Simba wako bize na mwarabu wa Misri baadae, wenzetu mko bize na waarabu wa Tabora. Kupanga ni kuchagua…
Kila la heri kwa chama langu Tabora United, nimekuwa shabiki wenu tangu nikiwa nasoma middle school pale Tabora Boys.
View attachment 3290638
Nyie mmefukuza kocha wa tabora kisa atawakamia....roho mbaya hiyo wananchiiiiLeo ndo ile siku ya kulipa kisasi. Na goli zetu za kisasi huwa zinajulikana. 🖐
Kila la kheri Timu ya Wananchi.
DaimaMbeleNyumaMwiko
Mmeshaanza Mzab sa si tunahusikaje huko?Nyie mmefukuza kocha wa tabora kisa atawakamia....roho mbaya hiyo wananchiiii
Tunajua mbinu zenu nyieee....mlishinikiza aussems atolewe singida baada ya kuwakalia kooni kule zenjiMmeshaanza Mzab sa si tunahusikaje huko?