Full Time: Tabora United 0-3 Yanga | NBC PL | Ally Hassan Mwinyi stadiam | April 2, 2025

Ila kwa kweli mashabiki wa Yanga asilimia kubwa ni mataahira,sa tokea lini aliyefungwa alikuwa ni mshirika wa Simba ?

Asante Mungu kwa kuniumba mimi kuwa sii mshabiki wa chikundi fc,🤣🤣🤣🤣
Utajuaje wakati wewe ni miongoni mwa mbumbumbu mliokuwa mnaiback up tabora? Yaani mlitegemea tabora ndio awasaidie kuizuia yanga ni maajabu ya Dunia!
 
Ndio akili yako ilivyokutuma hivyo?

Tuache kufikiria mechi ya maana na wanaojua wenzetu Al Masry tufuatilie timu iliyopanda daraja mwaka huu,una akili kweli wewe?,🤣🤣
 
Maumivu ni makali sana kijana wa Rage,,wewe subilia icho kikombe cha kahawa mlichopo na chenyewe ni kichapo tu sijui kama mtalala Leo!
 
Ila kwa kweli mashabiki wa Yanga asilimia kubwa ni mataahira,sa tokea lini aliyefungwa alikuwa ni mshirika wa Simba ?

Asante Mungu kwa kuniumba mimi kuwa sii mshabiki wa chikundi fc,🤣🤣🤣🤣
Nilidhani ni Mimi Tu ndio nawaonaga hivyo
 
Maumivu ni makali sana kijana wa Rage,,wewe subilia icho kikombe cha kahawa mlichopo na chenyewe ni kichapo tu sijui kama mtalala Leo!
Watu mmewafunga na miamala imesoma,🤣🤣🤣
 
Nyuma pakiwa na mwiko ni lazima ujitahidi mana inakuwa inakupa kukaza
 
Back
Top Bottom