permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
Ya kwenu nani alipokea?
Ya kwenu nani alipokea?
Hakuna offside hapoGoli la mzize ni offside ??
Village-in
Yoav Gallant
kelphin
EricMan
Shadeeya
Mbagalila
Yoav Gallant
kelphin
Zee la Mandandu
KENZY
EricMan
Shadeeya
zipompa
Saharavoice
kelphin
Mr Q
vibertz
Shadeeya
Tarehe 8 ulikimbiaYaani pira hili papatupapatu ndiyo mnaenda kucheza nalo kwa Azam wiki ijayo? Aisee....andaeni vilio.
mkuu wale nyuki ni kiboko ya.........?Hawa ndio wale nyuki nyigu wa Tabora kiboko ya manjano_😂
Wameenda kukamilisha ratiba tu.Simba wanakula biriani huko kwa Farao, utopwinyo wanagombea mbuzi unyanyembe...
Ubaya Ubwela
Sijauona hata eti. Lol.Uzi upo toka jana usiku, hatuna jambo dogo
Ikiwa hilo ni kombe la wanawake basi Hersi ni demu piaSiku ya leo itaisha vzr kama jambo baya litawapata washiriki wa kombe la wanawake walioko Misri
Ngoja nikutagSijauona hata eti. Lol.
La Mzize halikuwa offside ila la Dube nadhani lilikuwa offside, sina uhakika 100%Hakuna offside hapo
Wako kwenye mazungumzo. AdvanceKwani hao GSM
Nimeuona eti japo umepoa huo. 😅Ngoja nikutag
Walioenda kukamilisha ratiba walirudi na sasa wanakimbizana kuwania mbuzi huko unyanyembe..Wameenda kukamilisha ratiba tu.
Ratiba iliyowashinda😁😁😁Wameenda kukamilisha ratiba tu.
Subiri mtanange uanze sasa, patachangamkaNimeuona eti japo umepoa huo. 😅
Ahsante.