Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
Ikangalombo ni Mutale mwenye rasta
Tuteswe na mashindano ya akina mama?Walioenda kukamilisha ratiba walirudi na sasa wanakimbizana kuwania mbuzi huko unyanyembe..
Ubaya Ubwela utawatesa daima wana wa GSM wasiojua kupambana kimataifa
Mechi imeisha, tunawatakia kila la kheri katika kuwasilisha malalamiko yenu TAKUKURUSubiri mtanange uanze sasa, patachangamka
Mangungu fc 😂😂Utopwinyo walicheza na nani?
Ngoja tuone Mtani.Subiri mtanange uanze sasa, patachangamka
😂😂😂 Kwani ni kweli kimelowa?Ni mapunguani wa akili tu ndio badala ya kufanya utani wa kistaarabu huamua kutoa matusi. Mashabiki wenye akili timamu hutaniana bila kutukana
Yule line one (kipara) amekataa goli classic la Mzize kotoka kwenye best setup ya Dube yaani kanajisi mechi yote.Ilibidi iwe 4 - 0 na goli la Mzize liwe best goal + hattrick, Refa kanyimwa unymba jana 😂 kaja kutolea hasira kwenye pitch
Text
brAin cRacker
Village-in
Yoav Gallant
kelphin
EricMan
Shadeeya
Mbagalila
Yoav Gallant
kelphin
Zee la Mandandu
KENZY
EricMan
Shadeeya
zipompa
Saharavoice
kelphin
Mr Q
vibertz
Shadeeya
Kwa hiyo Hersi ni mwanamama aliyewapeleka utopwinyo kwenye kombe la wamama?Tuteswe na mashindano ya akina mama?
Mbuzi cup hiyo Mr 🐸Kiko wapi! 🤗
Maamuzi mengine huamuliwa na VARmbona la tatu limeambiwa ni ofside.. uyo kibendera ni kipofu