Full Time: Tabora United 0-3 Yanga | NBC PL | Ally Hassan Mwinyi stadiam | April 2, 2025

Full Time: Tabora United 0-3 Yanga | NBC PL | Ally Hassan Mwinyi stadiam | April 2, 2025

Tulitaraji

Nawe kampe mwalabu
IMG_5727.jpeg
 
Tulikushenyenta 5
Ikaja 2
Ikaja 1
Aggregate inasemaje?
Mpira mmejifunzia wapi nyie vyura hadi kuunganisha matokeo ya misimu tofauti? Hata nilichopost hapo juu kuhusu aggregate ni kwamba nawakumbusha tu ushamba wenu.
 
Naona maji yameshazidi unga hapa.
Ahadi ya Milioni 60 imepotelea kusikojulikana. Siku nyingine wasikubali hizi ahadi zinazotolewa mbele ya vinasa sauti na makamera- zinawaponza
 
Yaani pira hili papatupapatu ndiyo mnaenda kucheza nalo kwa Azam wiki ijayo? Aisee....andaeni vilio.
 
Back
Top Bottom