princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Mi nilitetea hoja waachwe vijana wapate experience.. sio kutujazia ma seniorTena ana gundu hasa na timu ya taifa, umri umeenda, mpira umeisha, siasa tu
Nilisema tunashinda bila yeye, sasa kwanini wamemleta?