Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

Tena ana gundu hasa na timu ya taifa, umri umeenda, mpira umeisha, siasa tu

Nilisema tunashinda bila yeye, sasa kwanini wamemleta?
Walivyosikia timu ya DRC wamejaa wachezaji wanacheza ulaya na kwingineko na wao wakawehuka na kumleta mtu ambaye alishafeli long time ago kwenye taifa stars.
 
Wenzetu wana kocha mzungu licha ya kuwa na makocha wengi wazawa sisi eti timu anapewa Mzanzibari, hajawahi kufanikiwa popote, ili kufurahisha samia
Nchi hii ujinga mwingi sana kuanzia juu hadi chini. Wanawaza siasa tu kila mahali. Ndio maana wataalam wa nchi hii wanakimbilia kufanya kazi nje ya nchi maana utaalam na siasa ni vitu viwili tofauti
 
Samatta na Kibu ni mizigo kwa timu ya Taifa
Kwamba Mzize ni Lulu ya Taifa siyo!? Samatta na Kibu angalau wameonesha kitu uwanjani tena Kibu ndo asiguswe kabisa, amemwaga jasho lakutosha. Lile bwege la Yanga liitwalo Mzize siku nikiliona tena Stars itakuwa ndo mwisho kushabikia hilo team lenu.
 
Nina furaha sana leo, make timu ya CCM Ingeshinda hivi sasa kungekuwa na Jam ya Press confrance za kumsifia Kizimkazi.

Safi sana Congo kwa kuwapiga timu ya CCM, Kizimkazi angepata milestone sana leo.

Yaani hao wakina Msigwa walikuwa walisha andaa na hotuba kabisa za kusifu na kuabudu. Kapteni Samata alikuwa na hotuba ya mumsifia Kizimkazi endapi wangeishinda Congo.

Safi sana na ombi langu ni hata huko Moroco tusiende kabisa make itakuwa ni full siasa za ki CCM.

Ombi langu la mwisho ni hao Simba na Yanga wasifike kokote kule make na wao ni wanatumika na kizimkazi tu.
Haya matimu yanaendeshwa kikondoo kwa ajili ya ku manipulate watu ili ku push ajenda za kisiasa watu washindwe kujadili mambo ya msingi.

Sometimes huwa namuelewa sana Lema.
 
Tusikate tamaa tunaweza tukapenya kwenye hili kundi.
Hatupenyi na naomba tusipenye. Lazima tuiheshimu football..kama tusipotenganisha siasa na football haya ndo yatakuwa matokeo yetu kila siku. Hata hizo Simba na Yanga si zimekubali kutumika na wanasiasa basi nakwambia hazifiki popote kimataifa msimu huu. Football ina njia zake.
 
Wazee wa lawama uwanja wenu wiki hii😅
Kama vipi waite kikosi kimya kimya wasitangaze
Siku ya mechi wacheze tu hata bila kurusha matamgazo wala mashabiki kujiepusha na lawama za hapa na pale
jana walifungwa ccm jumamosi watafungwa yanga
MUNGU anakazi nyingi mno
kwakweli kule mashariki ya kati watoto wanakufa kwa makombora hafu aje ahangaike na mpira wa samia
 
Back
Top Bottom