Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,570
- 2,076
Njoo tukuchezee kunako na maji hatukupi egnek wewe!Kacheze wewe na familia yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo tukuchezee kunako na maji hatukupi egnek wewe!Kacheze wewe na familia yako
Shida sisi tuna wadharau. Tumetoka nao sare afcon kule, wakatunga moja kwao tukajiona tunaweza pishana nao. Hii game ilihitaji plan hata ya sare tu. Ona sasa kilicho tukutaYaani ji inchi hili linavyoboa kwenye mpira, wacha tu tuangalie epl tu ila hapa hapana aisee, yaani roho inavyouma kufungwa na hawa jamaa nyumbani, halafu walivyotudharau aiseeee hapana aisee hapana kabisa
Akili zao zinawatuma kuwa zomes Yao ndiyo CCM inakomolewa,ni ujinga mtupu walionao CCM haitishiki,hai abaiki na itaendelea kutawa
Sijatazama mechi ila kila kona mama hivi mama vile.
Hivi huyo mama anacheza nafasi gani kwenye hii timu?
Au ndio 4R tunazoambiwa?
View attachment 3125906h
Ethiopia na guinea tunaombea timu gani ishinde.?
Hivi uSengerema na uKunduChi ..... Upi afwadhali.... Hii timu hii....kincho niuma sio kufungwa 2 ila matumiz mabaya ya pesa na ndege ya WaTz iliyobeba hizi ng'ombe hadi congo na kurudi tz kisha zikakubali kukamuliwa nje ndani...
tuache usengerema tuache siasa tz hatuna team hatuna coach, tujenge team miujiza na hamasa haiwezekan kwenye team ambayo ni kichwa cha mwendazimu...
Manini makagali au!??
We si uliona AFCON iliyopolita mara kina mwijaku, babalevo,sijui Nyerere ambaye familia imemkataa.... Machawa kibaoooo eti timu ya hamasa wakaenda nao ivory coast wakati wachezaji wa zamani wapo na waliostaafu karibuni wapo ..... Nilifurahi sana tulivyotolewa mapema.Nina furaha sana leo, make timu ya CCM Ingeshinda hivi sasa kungekuwa na Jam ya Press confrance za kumsifia Kizimkazi.
Safi sana Congo kwa kuwapiga timu ya CCM, Kizimkazi angepata milestone sana leo.
Yaani hao wakina Msigwa walikuwa walisha andaa na hotuba kabisa za kusifu na kuabudu. Kapteni Samata alikuwa na hotuba ya mumsifia Kizimkazi endapi wangeishinda Congo.
Safi sana na ombi langu ni hata huko Moroco tusiende kabisa make itakuwa ni full siasa za ki CCM.
Ombi langu la mwisho ni hao Simba na Yanga wasifike kokote kule make na wao ni wanatumika na kizimkazi tu.
Tena me naomba taifa stars isiende MoroccoSafi kabisa maana wengine wanatumia timu ya taifa kufanya kampeni za 2025 ..kila kitu oh mama , tuna mshukuru mama