princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,245 Reaction score 18,347 Oct 16, 2024 #301 mahindi hayaoti mjini said: Tena ana gundu hasa na timu ya taifa, umri umeenda, mpira umeisha, siasa tu Nilisema tunashinda bila yeye, sasa kwanini wamemleta? Click to expand... Mi nilitetea hoja waachwe vijana wapate experience.. sio kutujazia ma senior
mahindi hayaoti mjini said: Tena ana gundu hasa na timu ya taifa, umri umeenda, mpira umeisha, siasa tu Nilisema tunashinda bila yeye, sasa kwanini wamemleta? Click to expand... Mi nilitetea hoja waachwe vijana wapate experience.. sio kutujazia ma senior
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Oct 16, 2024 #302 Team inacheza kama wanabembelezwa au mpaka mama atoe magoli pesa Taka taka tupu mule Ova