Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Hivi hao kina Samata nani Huwa unawaleta? Watu Wana mikosi mnawalazimisha tuu, upuuzi tuu
Siasa kila sehemu,acha ucengeLimepatikana ila wamepata wao .. . Sisi tujipange tu kuiba kura ....
Hakuna kitu hapo. Huyo dogo sijawahi kumuelewa
Kuna majitu yanaitwa Kwa sababu za Majina tuu ila ni msaadalessMim nahis huw ni maelekezo toka juu, mbn kipnd kile hawakuitwa na tulicheza vizuri.