Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

Ile ya Mo Hussein haikua hata faulo?? Au hata kadi?
 
Halafu badae utasikia wajinga wajinga fulani wanakwambia Wydad wametuma ofa 7 kwa Mzize lakini zimekataliwa nye nye nyee
Inaonekana unatamani hilo dili lisifanikiwe.

Wabongo tunaombeana sana njaa.
 
Wa Congo wanapiga viatu haswa na refa anawaacha tu
 
Back
Top Bottom