Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

Leo Jumanne, Taifa Stars itakuwa dimba la Benjamin Mkapa kwa kazi moja tu kusaka ushindi dhidi ya DR Congo katika mechi ya kuwania kufuzu AFCON 2025 nchini Morocco.

Mechi hii itachezwa saa 10:00 jioni


Mpira umeanza kipindi cha kwanza na DR Congo ndiyo wameanzisha gozi.

Dakika, 2 Stars wanapata kona.

Dakika, 4 Stars wanafanya shambulizi zuri sana na kupata kona.

Dakika 6 Taifa Stars wamefanya shambulizi zuri kutoka kwa Mzize.

Dakika,12 Sammata anakosa goli hapa.

Dakika, 18 DRC wamefanya shambulizi zuri.

Dakika, 38 Mpira umekuwa kasi sana

Dakika, 39 Kibu anakosa nafasi ya wazi

Dakika, 42 Ali Salmu anafanya save nzuri na kuwaweka salama Taifa Stars.

Zimeongezwa Dakika 3 kukamilisha dakika 45 za kipindi cha kwanza
😊Tz Lolote baya liwakute...alisikika mtz asiye kua na uzalendo.
 
Msiwalaumu san wachezaji. Wa kulaumiwa ni kocha wenu huyo mnamwita Morocco sijui Parocco. Tutafute kocha wanaoeleka siyo bora kocha
 
Hawa DRC wanapenda sana starehe. Hivi kweli lile duka inonga tunaliacha bila kulitembelea.?

Kwao hii mechi haina umuhim sana kama sisi.
 
Back
Top Bottom