Kweli mkuu sionag hata impact ya samatta, kitu ya pili huko.Kuna majitu yanaitwa Kwa sababu za Majina tuu ila ni msaadaless
Wakongo wamekuja kam wote.Hivi hao wanaoshangilia uwanjani ni kina nani yarabiii...kweli hatuna utu aisee...
MBWA HAWA.
PumbavuCongo piga hao mbwa hadi wakome , niliombea mapema hii game tz inyolewe bila huruma
Pumbavu sana yani hao vijana ๐ ๐ ๐๐Pumbavu
Huko Jeshi Wameshindwa nini kutoa wachezaji wa Taifa stars? Hovyo tuuTuache kushiriki mashindano ya kimataifa hata kwa miaka miwili tukijipanga. Kama hatuwezi tuwape timu ya jeshi,secondaries au vijana.
Fanya wewe ucenge Mkuu...... Mnavyoleta nyie siasa kwenye soka ni sawa..Siasa kila sehemu,acha ucenge