Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

Hii taifa stars tuachane nayo tu waendelee kuitana kimya kimya na kucheza kimya kimya.

Mbona hapa kati waliweza kuita wachezaji kwa siri hata mechi walikuwa hawazitangazi.
Kama vipi waende kuchezea zenji kabisa. Sisi hata tusihangaike nao.
 
Huo ukuta ni upuuzi huko nyuma...kama.kipa kajitahidi kupangua michomo mpk dkk 77...hao nyuma hapo kina mwamnyeto sijui walikua kama picha??
Trust me the 1st goli, Ndio ile moment akili ya Ally huwa haifanyi kazi.

Kwa kifupi in most time anabahatisha.
 
Wazee wa lawama uwanja wenu wiki hii😅
Kama vipi waite kikosi kimya kimya wasitangaze
Siku ya mechi wacheze tu hata bila kurusha matamgazo wala mashabiki kujiepusha na lawama za hapa na pale
 
Ila Morroco bana sub ziko tano wachezaji akina faisal, Samatta walishaonesha kuchoka unashindwa nini kutumia uliokua nao nje. Tumia sub zako hasa unapoona hupati matokeo kwa uliokua nao maliza zote tu watu wakapambana.
 
Back
Top Bottom