Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

Khaa!!!
Kumbe Taiifa Stars imecheza leo? Mimi nilijua mechi inayosubiriwa ni Yanga na Simba!!!
 
Ila Morroco bana sub ziko tano wachezaji akina faisal, Samatta walishaonesha kuchoka unashindwa nini kutumia uliokua nao nje. Tumia sub zako hasa unapoona hupati matokeo kwa uliokua nao maliza zote tu watu wakapambana.
Si amefanya sub ya Mwamnyeto na Himid Mao.
 
Yaani ji inchi hili linavyoboa kwenye mpira, wacha tu tuangalie epl tu ila hapa hapana aisee, yaani roho inavyouma kufungwa na hawa jamaa nyumbani, halafu walivyotudharau aiseeee hapana aisee hapana kabisa
 
Kilichosalia saizi Kwa mechi 2 zijazo tucheze bila tention kwamba tushayltoka pengine tunaweza shinda zote 2
 
NAONA WATU WANALAUMU TU KUWA ILA HAWAONI KAMA TIMU ILIPAMBANA SANA KILA MCHEZAJI ALIJITOA KWA NAMNA YAKE. KIUKWELI KUNA WATU HUMU WANACOMMENT UPUMBAVU SANA WAO KILA KITU WANALAUMU KAMA WAMEZALIWA SIKU ZA LAWAMA.

TUMEFUNGWA KIUWEZO TU WALA HAKUNA SABABU YA KUMPA LAWAMA KILA MTU .HAYA MLITAKA ACHEZE NANI ILI TUSHINDE

TANZANIA KUNA WATU WANALAUMU KILA KITU.
 
Ila Morroco bana sub ziko tano wachezaji akina faisal, Samatta walishaonesha kuchoka unashindwa nini kutumia uliokua nao nje. Tumia sub zako hasa unapoona hupati matokeo kwa uliokua nao maliza zote tu watu wakapambana.
Labda kocha kaona hizo sub ndo maiti kabisa Bora hata ya hao wagonjwa wanaojikongoja uwanjani
 
Back
Top Bottom