Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024

Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Its match day!!

Ni Tanzania Vs Guinea katika dimba la Benjamin Mkapa kuanzia Saa 10:00 Jioni.

Ni mchezo wa kufuzu AFCON ya mwaka 2025 pale Morocco ambapo kundi H Taifa Stars inahitaji ushindi wa namna yoyote ili ifuzu wakati Guinea wao wakihitaji ushindi au droo ili waweze kufuzu.

Saa 10:00 jioni kupitia Azam Sports 1HD, DStv pia kupitia Chaneli 225.

Mliopo Dar muende kwa wingi uwanjani, Kiingilio Bure.

Live updates zitakujia hapa..

Mpira umeanza ikiwa dakika 3

Dakika, 5 Taifa Stars wametengeneza nafasi nzuri sana hapa

Dakika, 10 Taifa stars wamendelea kutengeneza mashambulizi mengi bado kupata goli tu!

Dakika, 11 Saimon Msuva anakosa goli la wazi kabisa!

Dakika, 16 Stars wanafanya shambulizi kali sana ila Mussa Camara anadaka mpira huo!

Dakika, 20 Bado milango yote ni migumu kwa timu zote mbili.

Dakika, 35 si Stars wa Guinea ambaye amepata goli hadi sasa.

Dakika, 40 Guinea wanakosa kutumia nafasi ya wazi kufunga goli.

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika Taifa Stars 0 - 0 Guinea

Full Time Taifa Stars anafunzu kwa mara nyingine tena kwenda AFCON
 
Kwan tukishinda inakusaidia nn
Ona Sasa ulivyo fala yaani hujui hata manufaa ya Timu kushinda?

1.Furaha,na mshikamano wa Kitaifa
2.Kuitqngaza Tanzania Kimataifa
3.Wachwzaji wetu Watapata fursa ya kuonesha vipawa vyao na kuuza uwezo wao
4.Ni Heshima ya Nchi na fahari
5.Mabalozi wa Utalii na hamasa zaidi ya Michezo.
 
Back
Top Bottom