Ombi langu moja tu kwa viongozi wa TFF najuwa hili sio kwa umuhimu sana sababu tunasheherekea ushindi, lakini jezi zetu ni mbaya sana hizi za blue na hasa zile za ufito wa yellow na black design mbaya sana. Hata kama tunafuata bendera lakini blue kwenye bendera sio hii ni light blue lakini tunaile tunasema Gold(kama yellow) kwanini tusichukue ile rangi ya Gold na kutengeneza kitu matata iwe ni identity ya team yetu. Blue colour ni mbaya, yellow na black ya ufito ndio kabisa. Sijui kwanini wakivaa jezi ile inaondoa parsonality ya team hivi inafifisha team sana. Jezi pia ni factor ya kuheshimiwa. Haya maoni yangu binafsi, jezi zote mbayaaaaaa