Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiii tumepita tayariIts not over until its over
SsfiIts match day!!
Ni Tanzania Vs Guinea katika dimba la Benjamin Mkapa kuanzia Saa 10:00 Jioni.
Ni mchezo wa kufuzu AFCON ya mwaka 2025 pale Morocco ambapo kundi H Taifa Stars inahitaji ushindi wa namna yoyote ili ifuzu wakati Guinea wao wakihitaji ushindi au droo ili waweze kufuzu.
Saa 10:00 jioni kupitia Azam Sports 1HD, DStv pia kupitia Chaneli 225.
Mliopo Dar muende kwa wingi uwanjani, Kiingilio Bure.
Live updates zitakujia hapa..
Mpira umeanza ikiwa dakika 3
Dakika, 5 Taifa Stars wametengeneza nafasi nzuri sana hapa
Dakika, 10 Taifa stars wamendelea kutengeneza mashambulizi mengi bado kupata goli tu!
Dakika, 11 Saimon Msuva anakosa goli la wazi kabisa!
Dakika, 16 Stars wanafanya shambulizi kali sana ila Mussa Camara anadaka mpira huo!
Dakika, 20 Bado milango yote ni migumu kwa timu zote mbili.
Dakika, 35 si Stars wa Guinea ambaye amepata goli hadi sasa.
Dakika, 40 Guinea wanakosa kutumia nafasi ya wazi kufunga goli.
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika Taifa Stars 0 - 0 Guinea
Hatujuagi kulinda ushindi .tunachojua ni kupaki basi.kwanini mkuu
kwa kweli huyu mama anamchango mkubwa si utaniNafikiria Ndumbaru na mwna FA watavyoanza kumshukuru mama
Pongezi hizi za ushindi wa Taifa Stars 2-0 dhidi ya Guinea ni maalumu kwa Rais Dkt.Nafikiria Ndumbaru na mwna FA watavyoanza kumshukuru mama
Kivipi?kwa kweli huyu mama anamchango mkubwa si utani
Tunaomba VideoMsisahau waliahidiwa 500 ml na mama.
Naikabakie hiviAs it standsView attachment 3156257