Full Time: Tanzania 2-0 Burkina Faso | Mechi ya ufunguzi CHAN | Mkapa Stadium | Agosti 2, 2025 | Saa 2 Usiku

Full Time: Tanzania 2-0 Burkina Faso | Mechi ya ufunguzi CHAN | Mkapa Stadium | Agosti 2, 2025 | Saa 2 Usiku

Tz tunatoboa wenye kibarua kigumu Uganda na Kenya



Kwishaaaaa
 
Kipa wa Tanzania ndo kazeeka hivi kiasi Kwamba hata kupiga mpira tu anataka kudondoka mweh!!!🤔!


Cc Smart911
 
Ifikie kipindi hawa watu wa TFF wawe wanaangalia na matukio mengine kuyaleta mikoani.
Kila kitu Dar, halafu huko Dar kwenyewe hawana hata hamasa. Uwanja upo mweupe kuliko hata emptyhad wa Man City.
 
Kapombe, atupishe,, leo hayuko mchezoni kabisa,, pasi zake hazina afya kabisa, anapoteza poteza mipira,, alafu anazuga kuumia
 
Back
Top Bottom