Full Time: Tanzania 2-0 Burkina Faso | Mechi ya ufunguzi CHAN | Mkapa Stadium | Agosti 2, 2025 | Saa 2 Usiku

Full Time: Tanzania 2-0 Burkina Faso | Mechi ya ufunguzi CHAN | Mkapa Stadium | Agosti 2, 2025 | Saa 2 Usiku

Wakuu!

Leo Agosti 2, 2025 pazia linafunguliwa rasmi kwa Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024, ambapo Tanzania itavaana na Burkina Faso katika mchezo wa ufunguzi utakaochezwa saa 2:00 usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Michuano ya CHAN 2024 inafanyika katika nchi tatu ambazo ni Tanzania, Kenya na Uganda.

Je, Taifa Stars kuibeba mabegani Tanzania?

Updates

Mwamuzi atakaesimamia mchezo wa kwanza wa fainali za michuano ya CHAN 2024 kati ya Tanzania dhidi ya Burkina Faso ni Loutfi Bekouassa kutika Algeria.

Mwamuzi huyo atasaidiwa na Adel Abane (Algeria), Wael Hannach (Tunisia), na Oussam Benyahia (Algeria).

Upande wa VAR atasimama Lahlou Benbraham (Algeria) na Akhona Makalima (Afrika Kusini).
View attachment 3428278
Dimba la Benjamin Mkapa tayari kwa mechi ya Ufunguzi wa Kombe la TotalEnergies CAF CHAN

View attachment 3428446
Mwonekano wa nje wa Dimba la Benjamini Mkapa kabla ya ufunguzi rasmi wa Kombe la TotalEnergies CAF CHAN 2024

View attachment 3428451
Muziki wa Singeli watambuliwa kama sehemu ya utamaduni, Ufunguzi wa Kombe la TotalEnergies CAF CHAN


View attachment 3428535
View attachment 3428537
Mashabiki wakiingia Lupaso watu wameitika ufunguzi CHAN 2024
​
Mashabiki wakiwa wameanza kuingia katika Uwanja wa Benjamini Mkapa, Dar es Salaam kwa ajili ya ufunguzi wa Mashindano ya TotalEnergies CAF CHAN 2024.

Safari ya Taifa Stars kuelekea uwanja wa Benjamini Mkapa


Kikosi cha Burkina Faso dhidi ya Tanzania

1. Ladji Sanou
2. Hadalou Sagne
3. Abbas Guiro
4. Franc Tologo
5. Moumouni Diallo
6. Chitou Adjiibade
7. Tertius Bagre
8. Kalifa Nikiema
9. Eleazar Ouattara
10. Souleymane Sangare
11. Nasser Ouattara
View attachment 3428784

Goli la kwanza la mshindano limetoka kwa Abdul Seleman Sopu

HT: Tanzania 1-0 Burkina Faso 45+3 (P).
​
timu mbovu kama hii siyo ya kujiham kwa kujaza mabeki ni kuipiga hata 3+, Hawa makocha wanazingua
 
Kama Simba wamemsajili Feisal kwa Bilioni 1 basi wamepigwa
 
Stars wameramba zile pesa za goli lamama ambazo zingesaidia miundombinu. Msijali wanabukinabe next time mtawatifua hawa vijana wa mbeleko
 
Hii kombe mpaka sasa wapinzani wetu wakubwa watakuwa nchi za kiarabu
 
Back
Top Bottom