Full Time: Tanzania 2-0 Burkina Faso | Mechi ya ufunguzi CHAN | Mkapa Stadium | Agosti 2, 2025 | Saa 2 Usiku

Full Time: Tanzania 2-0 Burkina Faso | Mechi ya ufunguzi CHAN | Mkapa Stadium | Agosti 2, 2025 | Saa 2 Usiku

Mudathir mchezaji wa kwanza kupata kadi ya njano.
Abdul Suleiman Sopu mchezaji wa kwanza kufunga goli.
 
Eti bandugu, kwani wale watanzania wa mkopo wa Singida Blackstars mbona hawajaitwa
 
Sop na Na do wanakosa uzoefu
Tunaona pengo la Kibu
 
Back
Top Bottom