Ni sahihi. Jamaa anaweza.Burkina Faso kipa wanae
😂😂😂Bukinabe watanganyika tupo pamoja nanyi. Ushindi ni wenu wanabukinabe pigeni hao starz ya mama.
Mqmqe stars wamebahatisha. Wana bukinabe tuko pamoja naji watifueni hao stars wa mama
waede wapi? kuja kupoteza hela zetu wakati hakuna dawa hospitali, pumbavuTuzidi kuwaombea
Ahsanteni sana
Kwa mshuti ule namkubaliBacca ana akili sana
Wewe ndio umekosaWatu wamekosa hamasa na taifa lao