Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ufe tu ili tuoe mkeoSimba ikikaza sana inaweza ika dro.
prison wapiga kwenye mshono kabla kidonda hakijapona. Wazee wasimba leo watasema raisi anahujumu simba ili kuwatoa kwenye reli mbumbumbu fc.
leo hadi mo mkamchezeshe!Mangungu leo avae hata jezi aingie acheze ilimladi Simba tushinde lasivyo baada ya mechi shughuli anayo.
Prisons mkifungwa, mtakuwa mmejitakia wenyewe! Maana jukumu lenu kubwa leo ni kupiga tu pale kwenye mshono.
kanyokoKayokooo
wajelajela lazma wafe 4 leo,tunahasira na vyura juzi tumeona tujifunge wenyewe kuliko kufungwa na nyuma mwiko,staili ya mzalendo vitani yaani kuliko kuuawa na adui bora ujimalizeUshindi pekee kwa Simba leo ni kulazimisha sare.
Huyu ameamua kuwa mwanamichezo siyo shabiki maandazi na ndiyo inavyotakiwaHivi wewe ni Timu gani?
Huwa unaanzisha nyuzi na hutoi updates
Na ajabu unaanzisha nyuzi za timu zote.