FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

Tumezidiwa mkuu, Wapinzani wamefanya homework yao vizuri. Zuia mpira usipande kumfikia Mpanzu na Kibu kisha shambulia.
Kocha kama ana macho atajua cha kufanya
Mkuu em toa suluhisho hapo.
 
Reactions: Tsh
Simba akijiroga acheze anavyocheza mpinzani analia, maan ndio mpinzan anaforce ufanano.
 
Simba nao waweke kismati kuingia fainali
Sitapenda wakiishia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…