Baada ya kuona madrid wana winga zenye kasi ila tuliwapiga mechi zote nne tulizocheza umeama kutoka kigezo cha winga zenye kasi umeongezea kiungo bora.
Sawa twende kwa kigezo cha kiungo.
Kwa mtazamo wako unaona kiungo cha Barca ni dhaifu hakiwezi kupambana na kiungo cha PSG?
Vipi kuhusu scoring ability ya forward ya Barca ukikompea na ya PSG?
sijasema kiungo cha barca ni dhaifu, defense ya barca ndio dhaifu ambayo PSG wengi expose kiwepesi sana.