Full Time: UEFA Champions League Final: PSG 5-0 Inter Milan | Mei 31, 2025 - Allianz Arena Stadium

Ile ligi hata viwanja vingi ni hopeless kabisa, Wanasema Italia ni taifa lenye Uchumi mkubwa lakini viwanja tu vinatia aibu, vilabu havina pesa sijui, vinasajili outdated player, very hopeless kabisa
Hata mimi nashangaa sana, italia ina uchumi mkubwa kuliko spain cha ajabu spain wana miviwanja ya maana huku italy viwanja hovyo kabisa.
 
Tatizo kubwa sana hili.. Hivi ukiambiawa nchi ina uchumi mkubwa bs moja kwa moja akili yako inakutuma kwamba watakuwa na viwanja bora na vingi?
 
Barca angepigwa nyingi zaidi
Si kirahisi kama unavyodhani.. Mpira wa barca na psg unaendana, wote wanamiliki mpira na kupiga pasi fupifupi, inter amezoea count atack, hana uwezo wa kumiliki mpira akikutana na timu zenye uwezo huo..anategemea kuvizia upoteze mpira auwah zipgwe pasi ndefu wakimbie wakufunge.. Jambo ambalo psg hakutaka litokee, alihakikisha amewanyima uwezo wa kumiliki mpira kwa kuanzia kuwakabia juu.
 
wingi za PSG zina kasi sana, zingekutana na Highline ya Barca wangefanya sherehe, ikiwa Inter walitia goli saba imagine PSG wangefanyeje.
 
Kwahiyo msimu huu ulaya nzima timu yenye winga zenye kasi ni PSG tu?

Kwamba Baecelona hajacheza kabisa na timu yenye winga zenye kasi?

Pale madrid Vin na Mbappe hawana kasi?
 
ikiwa Inter walitia goli saba imagine PSG wangefanyeje.
Kwenye mpira if A=B and B=C then A sio lazima iwe sawa na C.

Kwa sababu Inter aliifunga 7 Barcelona na yeye kufungwa 5 na PSG haina maana PSG ataifunga Barcelona.

Logic zako ni sawa na za vijana wa Arsenal tu.

Eti kwa sababu waliitoa madrid basi wakaona wameshamaliza na wataingia fainali.

Kisa madrid ni baba wa UEFA.

Tulipowaambia PSG hamuwawezi wakasema kwenye makundi mbona tuliwafunga!

Tukawaambia mpira hauko hivyo.

Wewe ulimfunga makundi hii ni mtoano.

Approaches zinabadilika hawakutaka kuskia.

Matokeo yake Arsenal kafa game zote mbili home and away.
 
wingi za PSG zina kasi sana, zingekutana na Highline ya Barca wangefanya sherehe, ikiwa Inter walitia goli saba imagine PSG wangefanyeje.
Ndugu yangu unaujua mpira au una ushabikia tu?

Timu zote hzo mbili(barca na psg) zinamilik mpira means game ingechezwa katikati sana pasi nyingi hata magoli yasingekuw mengi.
 
alie kwmabia kazi yake ni kumiliki mpira tu ni nani? hizo ndio timu zinazoongoza kushambulia zaidi kuliko timu nyengine zozote Ulaya.
 
Kwenye mpira if A=B and B=C then A sio lazima iwe sawa na C.

Kwa sababu Inter aliifunga 7 Barcelona na yeye kufungwa 5 na PSG haina maana PSG ataifunga Barcelona.

Logic zako ni sawa na za vijana wa Arsenal tu.

Eti kwa sababu waliitoa madrid basi wakaona wameshamaliza na wataingia fainali.

Kisa madrid ni baba wa UEFA.

Tulipowaambia PSG hamuwawezi wakasema kwenye makundi mbona tuliwafunga!

Tukawaambia mpira hauko hivyo.

Wewe ulimfunga makundi hii ni mtoano.

Approaches zinabadilika hawakutaka kuskia.

Matokeo yake Arsenal kafa game zote mbili home and away.

washabiki wa Arsenal n mataahira, nahisi wewe ndio unakaribiana nao zaidi
 
Kwahiyo msimu huu ulaya nzima timu yenye winga zenye kasi ni PSG tu?

Kwamba Baecelona hajacheza kabisa na timu yenye winga zenye kasi?

Pale madrid Vin na Mbappe hawana kasi?

Madrid wana winga zeney kasi ila wana midifield dhaifu sana, huwezi linganisha na PSG yenye moja best midfield Europe hivi sasa
 
wingi za PSG zina kasi sana, zingekutana na Highline ya Barca wangefanya sherehe, ikiwa Inter walitia goli saba imagine PSG wangefanyeje.
Ndugu yangu unaujua mpira au una ushabikia tu?

Timu zote hzo mbili(barca na psg) zinamilik mpira means game ingechezwa katikati sana pasi nyingi hata magoli yasingekuw mengi.
 
Madrid wana winga zeney kasi ila wana midifield dhaifu sana, huwezi linganisha na PSG yenye moja best midfield Europe hivi sasa
Baada ya kuona madrid wana winga zenye kasi ila tuliwapiga mechi zote nne tulizocheza umeama kutoka kigezo cha winga zenye kasi umeongezea kiungo bora.

Sawa twende kwa kigezo cha kiungo.

Kwa mtazamo wako unaona kiungo cha Barca ni dhaifu hakiwezi kupambana na kiungo cha PSG?

Vipi kuhusu scoring ability ya forward ya Barca ukikompea na ya PSG?
 
Ndugu yangu unaujua mpira au una ushabikia tu?

Timu zote hzo mbili(barca na psg) zinamilik mpira means game ingechezwa katikati sana pasi nyingi hata magoli yasingekuw mengi.
Unampigia mbuzi gitaa.

Huyo ni shabiki wa Madrid hawezi kuona zuri lolote la Barca.

Kwanza ana uchungu sana tumemfunga el clasico zote msimu huu.
 
Ndugu yangu unaujua mpira au una ushabikia tu?

Timu zote hzo mbili(barca na psg) zinamilik mpira means game ingechezwa katikati sana pasi nyingi hata magoli yasingekuw mengi.

Barca na PSG ndio timu zinazoshambulia zaidi Ulaya, kwa hiyo hiyo dhana ya mpira ungechzwa sana katika haina mashiko kabisa.
 
Back
Top Bottom