permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
Madrid wana generation ambayo imeshinda kila kitu, ile ni ya kubomoa na kujenga timu mpya ya ushindi. Siku zote Barca hawagi na defensi ngumu sana, ila viungo na washambuliaji wazuri.Ukisema bado be specific.
Sema bado kwenye defence.
Kwengine Barca hiko vizuri tu.
Barca tukiimarisha defence,madrid hata akikaa vizuri bado atapata tabu sana.