Full Time: UEFA Champions League Final: PSG 5-0 Inter Milan | Mei 31, 2025 - Allianz Arena Stadium

Full Time: UEFA Champions League Final: PSG 5-0 Inter Milan | Mei 31, 2025 - Allianz Arena Stadium

Barca bado, ubovu wa Madrid unasababisha tuone kama Barca imepona, ila ni ina nafuu tu.
huo ubovu wa madrid ungeuonaje kama sio kubutuliwa mara nyingi na barca?, alafu istoshe hakuna Barcelona fan aliesema barca imejipata, ila team inaundwa taratibu kilichobaki ni kuangalia how goalkeeper atalindwa dhidi ya kufikiwa na opponents. hiyo madrid unayoitaja ishajifia babuuu
 
huo ndio mpira sasa, ukijimix unachezea
Alonso na kikosi bora kilichotesa Ligi ya German alikamatika mwaka jana kwenye final na Atalanta akachezea 3 kwa karai,,
nawashangaa mashabiki lialia hapa mara sijui timu mbovu,, Waja mnambwembwe sana,, mnataka timu zenu pendwa ziwe zinatawala? Alafu mjisifu, acheni ubinafsi bana,,

mmesahau Brazil anakula 7 na German😆,
Big team zikikandwa huwa nafurai sana
 
Wanaolialia walibet kw Inter na sio kwamba wanaipenda sana!
 
Chukua hii.
Pichani ni pep guadiola pamoja na Luis Enrique, makocha pekee waliofanikiwa kukamilisha treble wakiwa na vilabu viwili tofauti.
iko hivi wote treble zao za mwanzo walikamilisha wakiwa makocha wa Barcelona na za pili wamekamilisha kwa kuifunga Inter Milan, tena wakiwa na vilabu vilivyochini ya waarabu.
View attachment 3352423
Pep hiki kipata katoa wapi? Mbna hapo akiwq yankii alikua na nywele had kwa paji la uso, Lol
 
Shida yao wanapenda kusajili WAZEE/WABABU hicho kitu hakituvutii mashabik kufuatilia lig yao lakin juventus wameanza kuamin kwenye vijana wamekubal kubadilika
Ile ligi hata viwanja vingi ni hopeless kabisa, Wanasema Italia ni taifa lenye Uchumi mkubwa lakini viwanja tu vinatia aibu, vilabu havina pesa sijui, vinasajili outdated player, very hopeless kabisa
 
Pep hiki kipata katoa wapi? Mbna hapo akiwq yankii alikua na nywele had kwa paji la uso, Lol
Ni suala la muda tu .
Hata Rooney kipindi yuko kijana alikuwa na kipara ila now ananywele hadi kwenye paji la uso.
 
Hawakufanya homework vizuri tu, Inzaghi alitaka game iwe open kabisa kama kawaida, hili nadhani Enrique aliliona basi PSG wakawa wako fast sana wakifika katikati mwa uwanja wanapiga moja moja Hadi Milan hawajui wamkabe nani, walivyo wajanja Sasa wakiwa na mpira humuoni Dembele kama namba Tisa anashuka chini kidogo hii inawafanya wale wazee kule nyuma wanakuwa na shape ya hovyo kweli hahah then chuma. Yaani man marking Yao Jana ilikuwa ya hovyo halafu wako slow sana, kusema kweli Jana Inzaghi ameshindwa akili na Enrique na hii ni. Namna gani inaonesha wahispaniola ni mabingwa kwenye tricks hasa za small details.
 
Back
Top Bottom