stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
akishinda basi uchawi upoAll the best PSG...
akishinda basi uchawi upoAll the best PSG...
Huko kwa wenzetu hizo timu kubwa zina mashabiki karibu duniani kote kwahiyo nchi yoyote watakayoenda kucheza hawawezi kukosa mashabiki wa kujaza uwanja, ila huku kwetu mkichezea kwenye neutral ground mnaweza kujikuta uwanja haujafika hata nusu maana mmeenda kuchezea kwenye nchi ambayo mashabiki wa hizo timu ni wachache au hakuna kabisa, hizi timu zetu mashabiki wengi wako kwenye nchi zinazotoka tu na kingine uchumi pia unachangia hao wenzetu wana uwezo wa kusafiri nchi yoyote ile kuenda kushuhudia timu zao zikicheza ila huku watu wanaona hiyo hela bora wafanyie mambo mengine tuHapa hakuna timu mwenyeji.
Ingekuwa huku kwetu ungesikoa kelele za kina cresentus magori.
Acha Waitwe wazungu
Kabisa mkuu pia miundombinu ya usafiri inatahisisha watu kwenda kuangalia soka.Huko kwa wenzetu hizo timu kubwa zina mashabiki karibu duniani kote kwahiyo nchi yoyote watakayoenda kucheza hawawezi kukosa mashabiki wa kujaza uwanja, ila huku kwetu mkichezea kwenye neutral ground mnaweza kujikuta uwanja haujafika hata nusu maana mmeenda kuchezea kwenye nchi ambayo mashabiki wa hizo timu ni wachache au hakuna kabisa, hizi timu zetu mashabiki wengi wako kwenye nchi zinazotoka tu na kingine uchumi pia unachangia hao wenzetu wana uwezo wa kusafiri nchi yoyote ile kuenda kushuhudia timu zao zikicheza ila huku watu wanaona hiyo hela bora wafanyie mambo mengine tu
Karibu sana PSG mkuu...Nichagulieni timu
Kaa na PSG mkuu...Nimekosa kabisa upande Leo !
Hizi dua ndio huwa zinasababisha mikeka ya watu inachanika.Nikiwa kama shabiki wa Barça niko na PSG
Nataka Mbappé aumie kupishana na kombe la UEFA
Ila sitaki Dembélé afunge usiku wa leo
sio mbaya kwa leoKaa na PSG mkuu...
Kutawaka moto aiseeeNaiona kama Fainali Bora sana, Kila timu Iko na falsafa tofauti na hii ndio inazidisha utamu wa hii gemu.
Nategemea battle Kali katikati na pembeni mwa uwanja. Nategemea Hakan Calhanoglu, Mkhitaryan na Nicolo Barella watakimbizana sana na kupigana buti na kina Fabian Ruiz, Joao Neves na Vitinha, Leo Nicolo au Hakan au Joao Neves mmoja anaweza kupata kadi hasa njano.
Mendes na Hakimi Leo wana kazi ya ziada hasa defensive, Leo Di Marco na Dumfries watukaja na kuteleza sana kwenye Flanks, ubora mkubwa wa Hakimi na Mendes ni kwenye offensive. Nadhani na naona kabisa kuwa Kvaratshkelia Leo atakuwa ndiye mtu pekee ambaye atawatisha Inter Milan kwenye winga na hii itampa tabu Di Marco, Kvara ni mchezaji mmoja mbaya sana tena sana hasa akivuka nusu uwanja na kuingia ndani.
Lautaro au Thuram watapishana sana kwenye kukaba kama ilivyo kawaida. Nategemea Sub za aina ya kina Fratessi kudectate mchezo. PSG wafanye lolote Leo Fabian Ruiz, Kvichi Kvara wacheze mpira bila hivyo Kwa usongo ninao uona Kwa Inter Milan wanaweza kubeba.
Hapa naona hii game nusu itauliwa Kwa njia mbili ni aidha Quick Transition au Dead ball.
It's tough game. Nusu nyingine ya hii game itaamuliwa na Personality za wachezaji binafsi. Inter wana usongo na ugwadu na hili kombe huku PSG wana hamu.
Barca na Arsenal ingeboa sn maana Arsenal angekufa kipind cha kwanza kwa goli nying , maana Arsenal hakuna wa kumka Yamal , Raphinha na The babu LewaYani hii fainali ingekuwa Barcelona na Arsenal ndio ingenoga zaidi, anyway may the best team win today japo PSG wajitahidi wachukue tu maana wakishindwa leo, basi kucheza tena fainali sijui hadi mwaka gani bora wenzao Inter tayari hilo kombe wanalo zaidi ya moja