Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
😀😀😀😀 pakubwa hapa utanionaje sasaHebu nyoosha mkono juu nikuone mkuu
😀😀😀😀 pakubwa hapa utanionaje sasaHebu nyoosha mkono juu nikuone mkuu
Nyoosha mkono juu na ufanye kama unawasha na kuzima tochi ya simu🤣🤣😀😀😀😀 pakubwa hapa utanionaje sasa
Organiser wa haya matukio huwa wanafurahisha sana wako vizuri kwenye suala la mda.Match Event for PSG vs InterView attachment 3352253
Mpira wa bongo ni kupiteza muda na matumiz mabaya ya machoHapa hakuna timu mwenyeji.
Ingekuwa huku kwetu ungesikoa kelele za kina cresentus magori.
Acha Waitwe wazungu
Muhimu PSG wawe makini na Mipira ya kutengwa mfano Kona n.kMziki waliokutana nao liverpool ndio huu anao enda kukutana nao inter. Binafsi ningependa inter abebe ila PSG Nona kama amedhamiria
PSG nasimama nao.All the best PSG...
Hakimi anakaa sehem yoyote pale uwanjani.What a goal