Mimi nipo kwenye pool table hapa hizi meza za mbele ya screenNyoosha mkono juu na ufanye kama unawasha na kuzima tochi ya simu🤣🤣
Wapasuke tu maana kombe sio la baba yao. Walijiamini saanaInter wanapasuka za haraka haraka
Tupo pamoja mkuu. PSG achukue kikombe.All the best PSG...
PSG ndio bingwa.Inter ndiyo mabingwa. Sioni hawa PSG wanawazuia vipi wana wa Italia.