James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,529
- 16,291
Inter players have all the reasons to take it based on the age merit that most players have zero chances to reach UEFA finals. Same to PSG, this is historic to them.
tayar uko chuma mbiliNiko na inter
Shida hizi tim zina mashabik wachache huku africaHii fainali naona haina mvuto hata uzi haujapewa live
acha zako sema timu pendw zmeaga mashinfano mapemaHii fainali naona haina mvuto hata uzi haujapewa live
naona unaotaInter ndiyo mabingwa. Sioni hawa PSG wanawazuia vipi wana wa Italia.
Daah nimesikitika sanatayar uko chuma mbili
Amka tuu,maana umejikwaa sio umeanguka...Wazee wako wanaweza kupindua meza 2nd HalfInter wameniangusha sana qmmk
umewaza nnInter anabeba Kwa mikwaju ya penalty baada ya dakika 90 kumalizika 2 - 2
Di Marco anawarahisishia kazi PSG.
Magoli yote yake.. la kwanza kashindwa kuua offside na la pili reflection
Sawa baba ndo tunachoshuhudiaMziki waliokutana nao liverpool ndio huu anao enda kukutana nao inter. Binafsi ningependa inter abebe ila PSG Nona kama amedhamiria
Matamanio yako na uhalisia wa kinacjoendelea ni vitu viwili tofauti.Mim shabik wa barcelona nataman inter wachukue hil kombe
ni kuzidiwa tu that's allInonyesha kocha wa inter hakujiandaa kucheza final.
babaInter kama Rs Berkane tu.
Umelala babaInter ndiyo mabingwa. Sioni hawa PSG wanawazuia vipi wana wa Italia.