- Thread starter
- #121
Sisi psg tushazipata 2 zetu, na nyie tafteni zenu.Inter anabeba Kwa mikwaju ya penalty baada ya dakika 90 kumalizika 2 - 2
Sisi psg tushazipata 2 zetu, na nyie tafteni zenu.Inter anabeba Kwa mikwaju ya penalty baada ya dakika 90 kumalizika 2 - 2
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikiwa kama shabiki wa Barça niko na PSG
Nataka Mbappé aumie kupishana na kombe la UEFA
Ila sitaki Dembélé afunge usiku wa leo
mm ni madrid nataman achukue psgMim shabik wa barcelona nataman inter wachukue hil kombe
Sijui kijana wenu mbappe anajisikiaje huko aliko.mm ni madrid nataman achukue psg
Dimarco akili inataka mwili hautaki...Di Marco mbali na matattoo na marangi kichwani na kwenye ndevu hana lolote.
Yamin Yamali alimtesa sana na leo tena huyo dogo Doue anamtoa jasho.
Takataka kabisa.
Zinarudi hizi hutaamini.baba
Gooaal.Zinarudi hizi hutaamini.
Ulitabiri nini kwaniKuna ninii hukooo?? Mbna km utabiri wangu unataka kuingia Doa. Lol
Aaah bas, kwishaaaaaaUlitabiri nini kwani