Psg wanaandika bao la nneAaah bas, kwishaaaaaa
Wanataka kombe na hawana hata on target moja.Inter wanacheza kama Simba. Utopolo mtupu.
Cha 4.Wapasuke tu maana kombe sio la baba yao. Walijiamini saana
Dah!...Inter kwisha habari yao.Goaaal.
Paris wanaandika bao la nne huku.
Inter wanacheza kama Simba. Utopolo mtupu.
Inter wanyonge sana.Hii ni Fainal mbovu ya upande mmoja tangu ile ya Liverpool Vs Tottenham
Ukweli usemwe inter kazidiwa sana leo.Hii ni Fainal mbovu ya upande mmoja tangu ile ya Liverpool Vs Tottenham