The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,698
- 17,114
Inter Ameniangusha sana leo
duh refa hajaongeza hata dakika m
Kulikuwa hakuna haja. Mtu ashakula 5duh refa hajaongeza hata dakika moja
Angeongeza inter angekandwa tena.duh refa hajaongeza hata dakika moja
Barca gani??Nimejifunza kwenye maisha Fanya kazi na vijana ambao wako siriasi sio tu wenye ujuzi.
Barca wanavijana wenye masihara.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Inter wameidhalilisha sana fainali ya mwaka huu, ni bora hata Barcelona wangefanikiwa kuingia fainali huenda tungeshuhudia fainal bora kabisa kuwahi kutokea kwenye hii michuano.Je, hii ni fainal bora au ya hovyo ?
Hiihii. Wao wamejielekeza kufungua tu bila kujali wanafungwa au hawafungwi. Hicho ndio kiliwagharimu KWA Inter.Barca gani??
Simba vijana wao wa mchongo mutale na kipara juu ila miaka yake early 20s[emoji28]Hapa tunajifunza faida ya kuinvest KWA vijana na kocha wa maana. Simba ijifunze.
Kamaliza na dk 89 kaona awaokoe Wale wazeeduh refa hajaongeza hata dakika moja
Walaumiwe barca kwa uzembe wao hadi wakatolewa na hawa wazee.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Inter wameidhalilisha sana fainali ya mwaka huu, ni bora hata Barcelona wangefanikiwa kuingia fainali huenda tungeshuhudia fainal bora kabisa kuwahi kutokea kwenye hii michuano.
Yaani mpaka dakika ya 74 Inter kashagongwa goli 4 halafu yeye hana shot on target hata moja, sasa ameingia fainal kufanya nini?
Sasa kwa matokeo na mpira kama huo uongeze dakika za kazi gani zaidi tu ya kutaka kuwachosha mashabiki wa pande zote 2.duh refa hajaongeza hata dakika moja
Kawaepusha na dhahama.duh refa hajaongeza hata dakika moja
Elewa hii Ngoma imeuzwa mkuu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Inter wameidhalilisha sana fainali ya mwaka huu, ni bora hata Barcelona wangefanikiwa kuingia fainali huenda tungeshuhudia fainal bora kabisa kuwahi kutokea kwenye hii michuano.
Yaani mpaka dakika ya 74 Inter kashagongwa goli 4 halafu yeye hana shot on target hata moja, sasa ameingia fainal kufanya nini?
Inter angekula 6duh refa hajaongeza hata dakika moja