Baada ya kuona madrid wana winga zenye kasi ila tuliwapiga mechi zote nne tulizocheza umeama kutoka kigezo cha winga zenye kasi umeongezea kiungo bora.
Sawa twende kwa kigezo cha kiungo.
Kwa mtazamo wako unaona kiungo cha Barca ni dhaifu hakiwezi kupambana na kiungo cha PSG?
Vipi kuhusu scoring ability ya forward ya Barca ukikompea na ya PSG?
Unampigia mbuzi gitaa.
Huyo ni shabiki wa Madrid hawezi kuona zuri lolote la Barca.
Kwanza ana uchungu sana tumemfunga el clasico zote msimu huu.
Kwa coment yako hii tayari ushanipa majibu, kuwa wewe siyo mtu wa mpira.. Wewe ni shabiki! Kwahyo timu inayokaa na mpira huwa haishambulii?Barca na PSG ndio timu zinazoshambulia zaidi Ulaya, kwa hiyo hiyo dhana ya mpira ungechzwa sana katika haina mashiko kabisa.
Chukulia kama huyo jamaa tumemshndwa achana naeKwa coment yako hii tayari ushanipa majibu, kuwa wewe siyo mtu wa mpira.. Wewe ni shabiki! Kwahyo timu inayokaa na mpira huwa haishambulii?
Kabisa kaka, ila ukweli utabaki palepale barca angecheza na psg matokeo yasingekuw haya.Chukulia kama huyo jamaa tumemshndwa achana nae
Kabisa kaka, ila ukweli utabaki palepale barca angecheza na psg matokeo yasingekuw haya.
sema wacha waendelee kujamba kwanini umetumia tafsida neno kulia?endeleeni Kulia wakuu, PSG ameshabeba kombe
[emoji23][emoji23] kaka umesahau kumalizia mbele kachukua UEFA CL cup kwa mala ya kwanza tokea kuanzishwa kwake.endeleeni Kulia wakuu, PSG ameshabeba kombe
Wewe unajua bolusijasema kiungo cha barca ni dhaifu, defense ya barca ndio dhaifu ambayo PSG wengi expose kiwepesi sana.
Kiukweli matokeo yasingekuwa haya,Barca angepigwa lakini gemu ingetoa GG,PSG asingetoa clean sheetKabisa kaka, ila ukweli utabaki palepale barca angecheza na psg matokeo yasingekuw haya.
Hakika ndugu yangu huko sahihi.Kiukweli matokeo yasingekuwa haya,Barca angepigwa lakini gemu ingetoa GG,PSG asingetoa clean sheet