Maumivu makali sana pole ha ha ha haLicha ya ubovu wa kipa lakini hili goli halikutakiwa kusimama kutokana na hand ball iliyofanyika kabla ya shambulizi.
Ni kama UEFA wanalengo la kumpa ubingwa Arsenal
Lakini hii ndio karma
PSG alinufaika na huu uonezi kwenye game yake na Bayern
AleBush tabata segereaOya wapi nisogee
Dah huko mbaliAleBush tabata segerea
Haina. Nouma jmosi ijayo karibu kwenye parade viwanja vya posta knyamaDah huko mbali
Mashabiki wa Manchester United waliopo PSG kwa mkopo watakushukia kama Mwewe..😃😃😃😃PSG hawezi chomoa hilo goli nina uhakika na hiki nachosema kwa 100% tena atapigwa chuma kingine cha pili
Unaangalia mechi gani mzee.? Pira haram haram full mbwinu wewe unaona moto.Arsenal wanavyopelekewa mafuta wanatamani hata hilo goli walitapike
🖕Amka usingizini unaota wewe
😆😆😆MUda ufike haraka
Unaangalia mechi gani mzee.? Pira haram haram full mbwinu wewe unaona moto.
Mkuu mbona kiwango chako huwa kikubwa hahahahahah nimejua wanawabeba hawa wahuni ili baadae wasiseme neno
Tunateseka🤨Mashabiki wa kukopwa wa PSG mpoooo ? Ha ha ha ha
How?!The fall of football
Inaweza kuwa mpango mzuri mkuu, pamoja na hivyo, wasije kujiroga hao PSG wakacheza bila tahadhari. Wanaweza kutemewa kohozi tenaNafikiri game unaitazama mpaka sasa maforward wote wamegeuka kua mabeki shauri zenu
Siamini kama arsenal alie draw na wolves Leo anabeba uefaHow?