Full Time UEFA Final: PSG 1 -1 Arsenal - Puskás Arena | May 30, 2026 - Baada ya Penati PSG anaibuka Bingwa (4-3)

Nani kubeba Ubingwa wa UEFA 2026?🏆


  • Total voters
    105
  • Poll closed .
Sijawahi kuona timu kubwa yenye utoto mwingi wa kuizidi Arsenal hapa duniani. Timu ya kubeba UEFA haipaswi kucheza kwa kiwango hiki. Too childish. Watoto hawajui kupambana, hawaelewi wanataka nini na wakati mwingine wanajisahau kana kwamba wanacheza mechi ya kutaka point.
 
So far game ya fainal ni ile ya psg dhidi ya bayern. Game zote mbili. Hii haina hadhi ya kuwa game ya fainal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…