Kuna tofauti kubwa kati ya Yanga ya Miloud Hamdi na Miguel Gamondi, na Yanga hii ya Mreno Goncalves nani sijui! Tukipata hata sare tu kwenye mechi ya leo tutashukuru.πππ umekata tanaa kabisa Tata
Leo ataanza. Hakuna namna. Mudathir Yahya Abbas amefungiwa.Aanza leo tuone makali yake
Safari hii mna haki ya kutamba kwavile Yanga haina kochaLeo tunawagonga kwenye Mshono...
Tunafumua kidonda
Kumbe leo tenaπππ leo tena jioni tunawaua
ulijua ama kombe 2po nalo mgongoniLeo mnyama anashinda japo inaweza kuwa kwa mbinde sana lakini anashinda
Unaota