FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Hii sio mara ya kwanza kulalamika kuhusu hili
Last time aliyewahi ni kiwatengu lakini uzi wake mkauonganisha kwa huyu jamaa
Hatoi updates za uzi kwanini mnampendelee yeye kila siku na nyuzi zake?🤔
Wewe timu gani kwanza??
Mi nikishasema Tangu mwanzo Mzikate ✂️Mkazitupe Mto msimbazi 🤣🤣 kama yanga wakitufunga Goli kuanzia Tatu
 
Hii sio mara ya kwanza kulalamika kuhusu hili
Last time aliyewahi ni kiwatengu lakini uzi wake mkauonganisha kwa huyu jamaa
Hatoi updates za uzi kwanini mnampendelee yeye kila siku na nyuzi zake?🤔
Wewe timu gani kwanza??
Anatakiwa kutoa updates, asipotoa updates tujulishe

Mimi timu gani? Subili mpira uishe utajua mimi ni timu gani
 
Aloo naziona goli 6 Cc ephen_
20240808_175617.jpg
 
Back
Top Bottom