FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Mzamiru na Kapombe mpaka hapo Simba tumeshafungwa. Hizi ndio hujuma zenyewe
Bora kwa Mzamiru hapo kama hao viungo wengine watakuwa vizuri, ila kwa Kapombe ni ujinga uliopitiliza. Game nyingi sana huyo jamaa ni kichochoro sikuhizi, sijui nini huwa kinafanya aaminike kwa kiwango hicho.

Tangu ile game dhidi ya Ahly pale kwa Mkapa nilimshusha sana viwango Kapombe,Ali Maaloul alikuwa anamkokota anavyotaka na magoli yalipita kwake.
 
Kuna lingine lakini kabla atujahitimisha,,
 
Live mzee huyu kapombe ni uchochoro tosha bola nicheze zangu ps kuliko kuangalia huu upumbavu
 
msianze kutafuta sababu na visingizio tafadhali, hakuna cha kichochoro wala cha kichururu..!!πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…