ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Lawama zishaanza!! Woyooooo😂😂😂 mimi sipendi Simba muwe na amani kabisaYani mzamiru anaanzaje mbele ya ngoma na okjepha, huko kote mbali, hata yule kagoma tu mzamiru hamfikii kwa sasa.
Hivi vizee vichawi vichawi vichawi viachwe..
Ngoja tuone lakini kiungo cha mzamiru hapana, nakikataa mapemaaa