Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Mwaka ule alimdhibiti Mayele hadi akataka ampige ngumiMidfield Maestro Mzamiric.
Hahaaa Leo😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka ule alimdhibiti Mayele hadi akataka ampige ngumiMidfield Maestro Mzamiric.
Hahaaa Leo😂
Hamia mapemaSubiri nione kama kweli mimi ni simba by nature
Leo tukifungwa na Simba, nahamia timu ya Dr Restart na min -me
We mtoto ujiangalie, utakuja kuwa mchawi uzeeni mwako, 😂🤣shauri yakoLawama zishaanza!! Woyooooo😂😂😂 mimi sipendi Simba muwe na amani kabisa
Nissan Patrol hiyo unaambiwa ...pumzi ya mganga haikati ...Leo hahahaha😂Miyeyusho tu hiki kizee, ngoja tutizame ball tuone.
🙏🙏 Hahahaaa. Usijali ndugu yanguNipo dadangu leo nimekuwa msomaji sana, sema mi kwenye mechi kama hizi huwa nakuwaga na timing zangu, sijandikii andikii tu kizembe.
Kazi njemaTimu ndo zinaingia uwanjani hapa.
Yanga amevaa green na Simba amevaa Red.
Nitakuwa LIVE.