Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Mwaka ule alimdhibiti Mayele hadi akataka ampige ngumiMidfield Maestro Mzamiric.
Hahaaa Leoπ
Hamia mapemaSubiri nione kama kweli mimi ni simba by nature
Leo tukifungwa na Simba, nahamia timu ya Dr Restart na min -me
We mtoto ujiangalie, utakuja kuwa mchawi uzeeni mwako, ππ€£shauri yakoLawama zishaanza!! Woyoooooπππ mimi sipendi Simba muwe na amani kabisa
Nissan Patrol hiyo unaambiwa ...pumzi ya mganga haikati ...Leo hahahahaπMiyeyusho tu hiki kizee, ngoja tutizame ball tuone.
ππ Hahahaaa. Usijali ndugu yanguNipo dadangu leo nimekuwa msomaji sana, sema mi kwenye mechi kama hizi huwa nakuwaga na timing zangu, sijandikii andikii tu kizembe.
Kazi njemaTimu ndo zinaingia uwanjani hapa.
Yanga amevaa green na Simba amevaa Red.
Nitakuwa LIVE.